MUZIKI WA UBONGO KIDS: Environmental Ethics | Swahili Verses
Bila sisi kuzingatia usafi wa mazingira dunia yetu itaaribika! Tujifunze zaidi kuhusu usafi wa mazingira kupitia huu wimbo wa Ubongo Kids! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: /ubongokids
قد يعجبك أيضًا
MATHS TOPIC QUESTIONS
ECZ MATHS GRADE 12
MILITARY AND WAR: Inside British Army Training Camp in Kenya. Why #BritishArmy /Soldiers Are Here.
The Life of Idi Amin Dada: The Man Who Ruled Uganda with an Iron Fist
Primary 1 English
Primary 6 English
SS 3 English
Primary 2 English
Pry1 English
Meet the Alphabet
Phonics - Journey Through the Alphabet! | Learn to Read | Alphablocks
English Course - Beginner 1
Learn English with Music
Learn Colors, Numbers, Shapes and Letters with Ms Rachel
Grade 5 English
انجليزي ثاني ابتدائي ترم الثاني 1447
Storytime with Akili and Friends
Level 9 English | Little Fox
Year8 English
KS1 English
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Akili and the River | Read with Akili and Me | Educational Cartoons for Preschoolers
Kiduchu Shupavu! | Videos of Kiduchu from Ubongo Kids
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
اختيارات مميزة
هل تريد المزيد من الترفيه؟ استكشف منصة الألعاب المقترحة ووجهة الدراما القصيرة التي نوصي بها.


