Tupo Sawa Sawa | Ubongo Kids Sing-along | Swahili Songs for Kids
Binadamu wote tuko sawa sawa, tusikubali ubaguzi wa aina yoyote! Tupo sawa sawa wote! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
قد يعجبك أيضًا
Year1 English
Learn Christmas English with TV Series and Movies
Learn To Read with Ms Rachel
Learn Colors, Numbers, Shapes and Letters with Ms Rachel
Nursery Rhymes | Words & Sounds
Primary 4 English
Level 1 English | Little Fox
PrePrimary English
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Akili and the River | Read with Akili and Me | Educational Cartoons for Preschoolers
Kiduchu Shupavu! | Videos of Kiduchu from Ubongo Kids
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
Primary 1 English
Primary 6 English
SS 3 English
Primary 2 English
Learn English with Movies
Learn English with Akili and Me!
Learning ABCs - African Alphabet Edutainment
Year3 English
Baby Learning with Ms Rachel - Videos for Babies
Learn English with Celebrities
Videos for Kids
Featured Videos
اختيارات مميزة
هل تريد المزيد من الترفيه؟ استكشف منصة الألعاب المقترحة ووجهة الدراما القصيرة التي نوصي بها.


