Mathematics | Learn Math with Kids' Wisdom | Educational Content in Swahili
Je unajua tofauti kati ya +, -, x, na kadhalika? Jifunze matendo ya hisabati kutumia huu wimbo ya kuelimisha kutoka katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
You Might Also Like
ECZ MATHS GRADE 12
PrePrimary Maths
SSS10 Math
Celebrating STEM: counting and multiplication
MATHS TOPIC QUESTIONS
GRADE 9 MATHEMATICS
SSS 2 Mathematics
Video 2: Spatial Figures
Algebra I | High School Math | Khan Academy
Counting Songs for Kids
Preschool Curriculum for Homeschool Families
Addition of Integers (English)
Year3 Maths
Year8 Maths
Grade 11 Mathematics
Grade 4 Math
WAEC 2019 MATHS QUESTIONS THEORY
GRADE 8 MATHEMATICS
Statistics I - Mathematics Form 2
FORM 2 MATHS - TAFA ACADEMY
Year1 Maths
SSS12 Math
SSS11 Math
SSS 1 Mathematics
Featured Picks
Looking for more entertainment? Explore our recommended gaming hub and short-drama destination.


